.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

FIFA YAIFUTIA ADHABU BARCELONA, SASA RUKSA KUSAJILI NA KUUZA WACHEZAJI

Timu ya soka ya Fc Barcelona ya Hispania imeruhusiwa kuuza na kununua wachezaji msimu huu wa majira ya joto, baada ya shirikisho la kandanda Duniani, FIFA kuiondolea kikwazo timu hiyo ya kutosajili au kuuza wachezaji iliyokuwa imeiwekea hapo awali. 

Barcelona ilikumbana na adhabu hiyo ya kutosajili kwa miezi 14 baada ya kupatikana na kosa la kuvunja kanuni ya FIFA inayozuia kusajili wachezaji walio chini ya miaka 18.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni