.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

JESHI LA POLISI MKOANI SIMIYU LAKAMATA MAGUNIA 19 YA BANGI

 Lori la mizigo lenye namba za usajili T 586 AMZ lililokamatwa na jeshi la polisi mkoani Simiyu likiwa limepakia zaidi ya magunia 19 ya bangi hivi karibuni yakiwa ndani ya kontena lililokuwa limebebwa na lori hilo.
Magunia ya bangi yaliyokamatwa na jeshi la polisi mkoani Simiyu hivi karibuni katika operesheni kabambe ya kupambana na uhalifu na wahalifu inayoendeshwa na Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Charles Mkumbo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni