.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

MAGARI KADHAA YACHOMWA MOTO, KISA NI MFANYAKAZI KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA KUDAIWA KUPIGWA RISASI

 Taarifa ambazo tumezipata usiku huu zinasema magari kadhaa ya kampuni ya Ujenzi wa barabara ya Aersleff Bam International yamechomwa moto baada ya mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo kupigwa risasi akidaiwa kuiba mafuta. Kampuni hiyo inajenga barabara ya Sumbawanga - Tunduma.
                                                                  Magari hayo yakiteketea kwa moto


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni