.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

POLISI MKOA WA SIMIYU WAKAMATA SILAHA ZA KIVITA NA RISASI ZAKE

 Bunduki na risasi zake zilizokamatwa toka mikononi mwa wahalifu katika operesheni kabambe ya kupambana na uhalifu na wahalifu katika mkoa wa Simiyu ambayo inaendeshwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Charles Mkumbo
Kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo akiwaonyesha waandishi wa habari ( hawapo pichani ) silaha zilizokamatwa toka mikononi mwa wahalifu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni