Raia wa Guinea kwa kushirikiana na raia wa Kenya, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya Tembo yenye thamani ya shilingi 78.
Raia huyo wa Guinea, N'Faye Doukoure na Keneth Kamau Maina ambaye ni raia wa Kenya, walifikishwa mahakamani na hawakutakiwa kujibu lolote hadi ijumaa wiki hii kesi hiyo itakapotajwa tena.
Watuhumiwa hao walikamatwa alihamisi iliyopita karibu na kituo cha mafuta cha Lang'ata wakiwa na vipande 133 vya meno ya Tembo.
Polisi imesema bado inaendelea na uchunguzi wa kesi hiyo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni