.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

RAIA WA UFARANSA ALIYEKUWA AKISHIKILIWA MATEKA TOKA 2012 NCHINI MALI AFARIKI DUNIA

Raia wa Ufaransa aliyekuwa anashikiliwa mateka nchini Mali toka mwaka 2012 amefariki dunia.

Taarifa hiyo imetolewa na kikundi kikundi cha waislamu wenye siasa kali nchini Mali ambacho kinasadikiwa kuwa na uhusiano na kundi la Kigaidi la Al Qaeda. Msemaji wa kikundi hicho amenukuliwa na shirika la habari la AP akisema kuwa,

 "raia huyo wa Ufaransa Gilberto Rodriques amefariki kwa kuwa Ufaransa ni maadui wetu", alinukuliwa msemaji huyo Yoro Abdoul Salam.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni