.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARAO

Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakijiandaa kumpokea rais Kikwete alipowasili mjini Moshi.
Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi.
Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.
Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikaliNa

Kwa hisani ya Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni