.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

WATAFITI WAWASILISHA RIPOTI ZA TAFITI ZAO KATIKA MKUTANO WA NIMRI

  Mtafiti, Dk. Safari Kinung'h akiwasilisha utafiti wake.
 Dk. Upendo Mwingira akiwasilisha ripoti ya utafiti wake wa magonjwa ya binadamu mbele ya watafiti wenzake hii leo.
Mkurugenzi wa NMR, Dk. Mwele Malecela akichangia katika tafiti zilizowasilishwa.
 Mtafiti Mwandamizi kutoka Maria Stop Tanzania, Mengi Ntinginya akizungumza mara baada ya kuwasilisha tafiti yake ya utikanaji wa huduma za afya ya uzazi kwa watu wenye ulemavu.
Mtafiti wa Magonjwa ya Binadamu kutoka Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR), Dk. Kijakazi Mashoto akiwasilisha utafiti wake juu ya Ugonjwa wa Kipindupindu alioufanya Mkoa wa Pwani katika Wilaya ya Kisarawe.
 
NIMR wameingia katika siku ya pili ya mkutano wao wa 28 wa Mwaka pamoja na Kongamano la Wanasayansi Watafiti linaloendelea jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni