.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

BALOZI WA NORWAY MHE. INGUNN KLEPSVIK AMUAGA RAIS KIKWETE IKULU

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo akimuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi (picha zote na Freddy Maro).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni