.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

CESC FABREGAS, DIEGO COSTA WAIONGOZA CHELSEA KUPATA USHINDI WA MABAO 3-1

Uwekezaji mkubwa wa Chelsea katika kuwanunua Diego Costa na Cesc Fabregas huenda ukawa ni biashara nzuri baada ya wachezaji hao kuisaidia Chelsea kushinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Vitesse Arnhem.

Katika mchezo huo wa kirafiki wa kujiandaa na Ligi Kuu ya Uingereza, Cesc Fabregas aliifunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na Chelsea ambapo awali Mo Salaha na Nemanja Matic na walicheka na nyavu.
Diego Costa akikatwa buti na Guram Kashia
Diego Costa akilumbana na Guram Kashia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni