.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

FAMILIA YA MALCOLM GLAZER YAUZA HISA ZA DOLA MILIONI 150 ZA MANCHESTER UNITED

                     Malcolm Glazer (Kulia) akiwa na watoto wake Joel na Bryan

Wamiliki wa timu ya Manchester United wanajiandaa kuingiza dola milioni 150 kwa kuuza hisa zaidi za klabu hiyo katika Soko la Hisa la New York.

Klabu hiyo imesema familia ya Glazer itauza hisa milioni nane, ama kiasi cha asilimia 5 ya umiliki wao.

Familia ya Glazers, ambao bado watakuwa ndio wamiliki wa klabu hiyo, awali waliuza hisa asilimia 10 ya hisa zake 2012.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni