.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

MAJUKUMU YAWAWAWEKA MBALI KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST

Kim Kardashian na mumewe Kanye West wamekuwa hawapati muda wa kuwa pamoja kutokana na kutingwa na majukumu yao, licha ya kufunga ndoa miezi miwili tu iliyopita.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo mrembo Kim na rapa Kanye wanaonekana kukerwa na hali hiyo na wangependa mambo yabadilike na waweze kupata muda mwingi wa kuwa pamoja.

Wanandoa hao wapya mara ya mwisho walionekana pamoja nchini Mexico wakiwa katika mapumziko Julai 24, mwaka huu.
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni