.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

MFANYABIASHARA KAMPALA AMFUKUZA MKEWE KWA KUSHINDWA KUZAA MTOTO WA KIUME

Mfanyabiashara mmoja Jijini Kampala amewashangaza wakwe zake na mashemeji baada ya kumuacha mkewe kutokana na kushindwa kumzalia mtoto wa kiume, ambaye ataendeleza ukoo wake.

Mfanyabiashara huyo Mathew Sserubidde, ambaye amemtelekeza mkewe aliyemzalia watoto wakike watatu, anajipanga kumuoa mtoto wa kocha wa soka Sam Ssimbwa, kutokana na kuamini mkewe hana uwezo wa kumzalia mtoto wa kiume.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni