.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

MFUNGWA ALIYEUA MAREKANI ATEKELEZEWA ADHABU YA KIFO HUKO ARIZONA

Mfungwa aliyehukumiwa adhabu ya kifo nchini Marekani, Joseph Wood amekufa kwa taabu baada ya kuchomwa sindano ya kifo na kuchukua muda wa saa mbili kabla ya kukata roho.

Wood ambaye alimuua rafiki yake wa kike pamoja na baba wa rafiki wake huyo wa kike, awali alitaka kujua dawa itakayotumika kumuua na kufungua kesi mahakamani.

Wakili wa Wood amesema mteja wake alikuwa akivuta hewa na kukoroma kwa muda wa saa moja katika chumba cha mauaji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni