.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

MICHUANO YA JUMUIYA YA MADOLA YAFUNGULIWA RASMI NA MALKIA

Michuano ya Jumuiya ya Madola imefunguliwa kwa sherehe kubwa zilizofanyika Celtic Park, huko Glasgow.

Maelfu ya wanamichezo kutoka nchi 71 wameshiriki katika sherehe hizo zilizohudhuriwa na watazamaji 40,000 na kurushwa na vituo vya televisheni kubwa duniani kwa mabilioni ya watu.

Malkia Elizabeth wa Uingereza alitoa hotuba na kutangaza rasmi kufunguliwa kwa michuano hiyo, akiwa kwenye mwenge mkubwa wa Jumuiya ya Madola.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni