.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Julai 2014

MNYANYUA VYUMA WA AUSTRALIA AKAMATWA KWA KUGOMBANA HUKO GLASGOW

Mwanamichezo wa Australia amekamatwa baada ya kugombama katika kijiji cha michuano ya Jumuiya ya Madola.

Mwanamichezo huyo amefunguliwa mashtaka ya kumshambulia mtu baada ya tukio hilo la jana na atafika mbele ya mahakama ya Glasgow Sheriff hapo kesho.

Inadaiwa kuwa mwanamichezo huyo ni mnyanyua vyuma Francois Etoundi, ambaye alitwaa medali ya shaba siku ya jumatatu kwa kunyanyua uzito wa kilo 77.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni