.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

MO FARAH AJIONDOA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA ILIYOANZA JANA GLASGOW

Mwanariadha Mo Farah ambaye amepata kunyakua medali mbili za dhahabu katika michezo ya Olimpiki katika mbio za mita elfu tano na mita elfu kumi, michezo iliyofanyika jijini London Uingereza mwaka 2012, amejiondoa katika michezo ya Jumuiya ya Madola ambayo imeanza jana huko Glasgow, Scotland kutokana na afya yake kuzorota.
Hata hivyo Farah anaendelea kujifua kwa ajili ya michezo ya Umoja wa Ulaya inayaotarajiwa kufanyika mwezi August Zurich, Uswis

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni