.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

NDEGE MOJA YAPOTEZA MAWASILIANO WAKATI IKITOKEA BURKINA FASO

Shirika la Ndege la Taifa la Algeria, limesema limepoteza mawasiliano na ndege yake moja iliyokuwa ikiruka ikitokea Burkina Faso kuja Algiers kukatiza jangwa la Sahara.

Mawasiliano hayo yametoweka baada ya dakika 50 tangu ndege hiyo iruke kutoka mji wa Ouagadougou.

Ndege hiyo AH 5017 ilikuwa na abiria 110 na watumishi sita, na inamilikiwa na shirika la ndege la Hispania la Swiftair.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni