.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BRN DAR, AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA KIKWETE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Katibu Mkuu, Kiongozi, Balozi Seif Sefue (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Dr. Omari Issa baada ya kufungua mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu BRN kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Seneta wa Kirinyaga, Daniel Dickson Karaba baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni