.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

UN YASEMA ISIS IMEAGIZA WANAWAKE NA WATOTO WA KIKE WAKEKETWE

Umoja wa Mataifa umesema kundi la dola ya Kiislam Isis limewaagiza wanawake wote na wasichana wa Mosul, kaskazini mwa Irak kufanyiwa ukeketaji.

Afisa wa Umoja wa Mataifa Jacqueline Badcock amesema agizo hilo la fatwa, linapaswa kutekelezwa kwa watoto wa kike wa umri kuanzia miaka 11 hadi wanawake wa miaka 49.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni