.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

ARSENAL YABANWA NA BESIKTAS HUKU RAMSEY AKILAMBWA KADI NYEKUNDU

                  Aaron Ramsey akishika kichwa akisikitika kupewa kadi nyekundu 

Mchezaji Aaron Ramsey amejikuta akitolewa nje kwa kadi nyekundu wakati Arsenal ikitoka sare tasa katika mchezo wa ugenini dhidi ya Besiktas.

Katika mchezo huo wa klabu bingwa Ulaya aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Demba Ba nusura aifunge Arsenal baada ya shuti lake la umbali wa nusu uwanja kugonga mwamba. 
                                                                                Demba Ba akiwajibika
Kocha Arsene Wenger akilalamikia kadi aliyopewa Ramsey

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni