.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

IS WATOA VIDEO INAYOONYESHA MWANDISHI WA HABARI MMAREKANI AKIKATWA KICHWA


Kundi linalotaka kuunda Taifa la Kiislam nchini Irak la (IS), limetoa video inayoonyesha kitendo cha kuuwawa kwa kukatwa kichwa mwandishi wa habari Marekani, James Foley, aliyekamatwa nchini Syria mwaka 2012.

Wapiganaji wa kundi hilo wamesema wamemuua mwandishi huyo ili kulipa kisasi kitendo cha Mareakani kufanya mashambulizi ya anga yanayofanywa dhidi ya wapiganaji wa kundi hilo nchini Irak.

Mama wa Foley, Diane amesema kupitia Facebook kuwa anajivunia mtoto wake huyo, kutokana na ujasiri wake wa kujitolea maisha yake ili kutoa habari za mateso waliyokuwa wakipata wananchi wa Syria.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni