.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

JK MGENI RASMI MASHINDANO YA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki(FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22 na kuzinduliwa rasmi tarehe 24 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22, kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa TAMISEMI Packshard P. Mkongwi. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda, Mkuu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shuleza Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya : Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda Mkuu wa Uhamasishaji na Matangazo wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA) Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHVUM).



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni