.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

KUTOKA KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.Kulia ni Makamu wake Mhe. Assumpter Mshama.


Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid , ambaye hayupo pichani wakati akizungumza mambo yaliyojiri katika Kamati yake akwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Kamati Namba 12 ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Paul Kimiti(katikati) akijadiliana jambo na baadhi ya wajumbe wa Kamati yake yake kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.
                                                              Picha na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni