.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

MTOTO ALIYEZALIWA BILA YA NJIA YA HAJA KUBWA NCHINI KENYA AFARIKI DUNIA

Mtoto mchanga aliyezaliwa Mjini Mombasa nchini Kenya na kulazimika kufanyiwa upasuaji kurekebisha hali isiyo ya kawaida aliyozaliwa nayo amefariki dunia.

Mtoto huyo Islam Saidi alizaliwa Alhamisi ya wiki iliyopita huku sehemu ya haja kubwa ikiwa imeziba alishindwa kufanyiwa upasuaji hadi jumatatu wiki hii kutokana na madaktari kuwa kwenye mgomo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni