.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

SOS CHILDREN KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MONTAGE LTD YAANDA KAMPENI YA KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUSAIDIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage Ltd, Bi Teddy Mapunda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangisha Pesa kwaajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu. Kampeni hiyo inafanywa na SOS Children kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage Ltd.


Mkurugenzi Mtendaji wa SOS Children Tanzania, Anatory Rugaikamu (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Serena wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangisha Pesa kwaajili ya Kuwasaidia Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, Kampeni hiyo inafanywa na SOS Children kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage Ltd.


Baadhi ya wawakilishi wa Makampuni ambayo yamedhamini Kampeni hiyo.


Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa Katika mkutano huo uliofanyika katika hotel ya Serena mapema leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni