.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Agosti 2014

WACHEZAJI WAKIWA UWANJA WA NDEGE TANGA TAYARI KWA SAFARI KUELEKEA PEMBA


Mlinda mlango wa kikosi cha U -20 CoastalUnion,Fikirini Suleimani "Mapara " wa kwanza mbele akiwa na viongozi wa Coastal Union uwanja wa ndege jijini Tanga kabla ya kupanda ndege kuelekea Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania bara,safari hiyo imefadhiliwa na wafadhili wa timu hiyo Kiwanda cha Unga Tanga.

Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanja wandege Tanga wakipanda ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya Mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania bara ,safari hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni