Benki ya Dunia imesema mlipuko wa
ugonjwa wa Ebola utaweza kuleta madhara ya kiuchumi kwa nchi za
Guinea, Liberia na Sierra Leone.
Chombo hicho kimesema madhara ya
kiuchumi yanaweza kuongezeka kwa kasi katika mataifa ambayo
yameathirika na ugonjwa huo.
Hata hivyo Benki ya Dunia imesema
madhara ya kiuchumi yanaweza kuwa machache iwapo mlipuko huo wa Ebola
pamoja na hofu vitadhibitiwa haraka na jitihada za mataifa duniani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni