.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Septemba 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)
Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.

Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, akizungumza kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo. Picha kwa hisani ya Lukaza blogspot.com

Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.

Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.

Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni