.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Septemba 2014

REDD'S MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA MIKUMI

Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba.
 Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.
Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti.

Warembo wa Redd’s Miss Tanzania wakiongozwa na Matron wao, Gladness Chuwa mbugani Mikumi.

 Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2014 wakiwa na watalii waliokutana nao
                                       Mrembo huyu akimuangalia ngedere aliyekuwa juu ya gari

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni