.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Septemba 2014

UJENZI WA ANJELINA SOCIAL HALL MBIONI KUKAMILIKA MJINI BUKOBA

 Sehemu ya ukumbi wa Anjelina uliopo mjini Bukoba unavyoonekana kwa nje. 

Wakazi wa mji wa Bukoba mkoani Kagera wapo mbioni kuondokana na adha ya kukosa ukumbi wa kisasa kwa ajili ya shuhghuli mbalimbali baada ya ukumbi wa Anjelina kuwa mbioni kukamilika. 

Ukumbi huo wa kisasa uliopo Rwamishenyi nje kidogo ya mji wa Bukoba, utakuwa ni maalumu kwa ajili ya shughuli za Send Off, Harusi, mikutano ya aina mbalimbali, mahafali n.k. 

Ukumbi huo ambao utakuwa umesheheni vifaa vyote vya kisasa ndani ikiwa ni pamoja na viyoyozi kote, unatarajiwa kuanza kutoa huduma kuanzia mwezi wa kumi na mbili mwaka huu ( Desemba 2014 ).
 Ukumbi wa Anjelina ukiwa katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wake.
 Muonekano wa ukumbi huo ambao pia una garden kubwa naya kuvutia
Muonekano wa sehemu ya ndani ikiwa katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni