.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Septemba 2014

WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA HII LEO KUAMUA KUJITOA AMA KUBAKIA KWENYE MUUNGANO WA UTAWALA WA KIFALME

Wananchi wa Scotland watapiga kura hii leo iwapo nchi hiyo ibakie kuwa chini ya Utawala wa Muungano wa Kifalme ama iwe taifa linalojitegemea.

Wapiga kura watasema ndio ama hapana katika kujibu swali la kura ya maoni, iwapo Scotland iwe taifa huru.

Watu 4,285,323 ambao ni asilimia 97 ya wapiga kura wamesajiliwa kupiga kura ambapo idadi kubwa inatarajiwa kujitokeza kupiga kura na matokeo yake kutolewa kuanzia kesho asubuhi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni