.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Septemba 2014

WATU 50 WAMEKUFA NCHINI SYRIA KATIKA MASHAMBULIZI YA ANGA YALIYOFANYWA NA SERIKALI

Watu wapatao 50 wameuwawa katika mashambulizi ya ndege ya anga yaliyofanywa na serikali ya Syria, katika mji unaoshikiliwa na upinzani.

Shirika la Syria la Kuratibu Haki za Binadamu limesema miongoni mwa waliokufa ni watoto sita katika mkoa wa Homs, kufuatia mkoa huo kudondoshewa mabomu kwa siku mbili.

Makumi ya wapiganaji wanaoshikilia mji huo wamekufa, shirika hilo la Uingereza limesema. Taarifa zaidi zinasema watoto wengine 34 wamekufa katika eneo lingine linaloshikiliwa na waasi baada kupatiwa chanjo iliyoharibika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni