.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

BENKI YA POSTA YAWAVUTIA MASHABIKI WA MBEYA CITY

 Kaimu Mkurugenzi wa wa Benki ya Posta Tanzania, Nzungu Jema Msuya akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dr Norman Sigalla na Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Posta Deo Kwiyukwa ( wa pili kutoka kushoto waliokaa ) wakati benki hiyo ilipokuwa ikigawa kadi ya mashabiki wa Mbeya City.
   Mashabiki wa Mbeya City wakihudumiwa toka katika banda la Benki ya Posta



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni