.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Oktoba 2014

EBOLA: RWANDA YAWATAKA WAGENI KUTOKA MAREKANI NA HISPANIA KUTOA RIPOTI ZA AFYA ZAO

Rwanda imeimarisha ufuatiliaji wa wageni wanaoingia nchini humo ili kudhibiti Ebola, kwa kuwaagiza wageni kutoka nchi za Marekani na Hispania kutuma kila siku ujumbe wa hali za afya zao pindi waingiapo Rwanda.

Waziri wa Afya wa Rwanda Bi. Agnes Binagwaho amesema wageni wote wanaotokea nchi hizo wanapaswa kutuma ujumbe huo tangu siku ya kwanza wawapo Rwanda kwa siku 21, hususan wale waliokuwa Marekani na Hispania katika wiki tatu zilizopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni