.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHUKA MILIMA YA USAMBARA KWA BAISKELI


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wananchi wakati akishuka milima ya usambara kwa kutumia baiskeli pamoja na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na wananchi wengine.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga makofi na Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga kulia wakipiga makofi huku mwadishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo akifurahia mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.


Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akizungumza na wananchi katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa wilaya ya Mkinga alipowasili katika kata ya Daluni B/ Bombo.

Kikundi cha ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili katika kata ya Daluni B/ Bombo wilaya ya Mkinga.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya kushiriki ujenzi wa msingi wa zahanati ya kata ya Daluni B/ Bombo wilaya ya Mkinga wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni Mgaza. Kwa hisani ya Full Shangwe Blog

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni