.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

LEBRON JAMES ASHINDWA KUISAIDIA TIMU YAKE YA NYUMBANI DHIDI YA NEW YORK KNICKS

Timu ya kikapu ya New York Knicks imetumia vyema hofu ya nyota LeBron James usiku wa jana na kufanikiwa kuishinda Cleveland Cavaliers kwa vikapu 95-90 katika dimba la Quicken Loans Arena.

Mchezaji huyo wa Ligi Kuu ya NBA, mwenye thamani ya juu, alirejea kuichezea timu ya nyumbani ya Cavaliers tangu kupita miaka minne akiwa na Miami Heat hakuwa katika kiwango chake katika mchezo huo na kupata pointi 17.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni