.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Oktoba 2014

LIGI YA MABINGWA ULAYA KUENDELEA LEO USIKU

Ligi ya mabingwa Barani Ulaya inaendelea leo katika viwanja mbalimbali barani humo kwa kushuhudia miamba mbalimbali ikiteremka dimbani. 

Wakati Chelsea watakuwa nyumbani kuwaalika NK Maribor, wao Manchester City watakuwa ugenini kucheza na CSKA Moscow. 

Mechi nyingine za leo za ligi ya Mabingwa Barani Ulaya:-

Roma vs Bayern Munich

Apoel Nicosia vs Paris St German

Barcelona vs Ajax

Schalke vs Sporting Lisbon

BATE vs Shaktar

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni