.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

LIGI YA MABINGWA ULAYA, SPORTING LISBON YALALA 1-0 MBELE YA CHELSEA

Wakicheza ugenini katika uwanja wa Estadio Jose Alvalade mjini Lisbon nchini Ureno, matajiri wa London Chelsea wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenuyeji wao Sporting Lisbon katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya uliochezwa usiku wa kuamkia leo. 

Vijana hao wanaonelewa na kocha msema hovyo lakini mwenye mafanikio makubwa uwanjani, Mreno Jose Mourinho walijipatia bao hilo pekee katika dakika ya 34 ya mchezo kupitia kwa Nemanja Matic, aliyefunga bao hilo kwa kichwa.
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akishangilia ushindi waliopata wa bao 1-0 dhidi ya Sporting Lisbon.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni