.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

MAELFU WAUNGANA NA WAANDAMANAJI KATI KATI YA HONG KONG

Maelfu wameungana na waandamanaji kati kati ya Hong Kong, wakati Chini ikiadhimisha miaka 65 ya taifa hilo.

Waandamanaji wanataka China kujitoa katika mpango wa kuwachuja wagombea katika uchaguzi wa viongozi wa Hong Kong mwaka 2017.

Mtendaji Mkuu wa Hong Kong, CY Leung amewasihi waandamanaji kuunga mkono mabadiliko yaliyofanywa na Beijing, hata hivyo alifanyiwa fujo na waandamanaji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni