.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

MGONJWA WA KWANZA KUWA NA EBOLA AGUNDULIKA NCHINI MAREKANI

Mgonjwa wa kwanza kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola amegundulika nchini Marekani. 

Jumatatu maafisa wa kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian ya Dallas ambako mgonjwa huyo anatibiwa toka jumapili iliyopita, wamesema mgonjwa huyo ambaye hakutajwa jina alikuwa akichunguzwa virusi vya Ebola na ametengwa katika hospitali hiyo. 

Mgonjwa huyo mwanaume anaelezewa alikuwa amerejea Dallas akitokea nchini Liberia ambako huko ndiko inasadikiwa amepata ugonjwa huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni