.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

MKUTANO WA SEKTA YA MAWASILIANO "CONNECT TO CONNECT SUMMIT" WAENDELEA DAR

Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma (kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge (kulia) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa katika mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa tatu kulia) viongozi hao pamoja na maofisa kutoka sekta hiyo walikutana kimazungumzo ya kuangalia namna ya kushirikiana katika utendaji kazi. Mkutano huo umeandaliwa na TTCL kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (katikati) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa pili kulia). Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.

Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni