.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 24 Oktoba 2014

MWANASOKA DAVID BECKHAM BADO YUPO FITI LICHA YA KUSTAAFU SOKA

Licha ya kustaafu soka mwanasoka wa Uingereza David Beckham bado anaendelea kujiweka fiti katika kuhakikisha mwili wake haujengi minyama uzembe.

Mwanamichezo huyo mwenye umri wa miaka 39 alinaswa akionyesha mwili wake wakati akipata wakati mzuri kwenye fukwe ya Malibu hapo jana.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni