.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Oktoba 2014

NDEGE ZA KIJESHI ZA MAREKANI ZAWAANGUSHIA SILAHA WAKURDI NCHINI IRAK

Ndege za kijeshi za Marekani zimedondosha silaha, vifaa vya kijeshi pamoja na vifaa tiba kwa wapiganaji wa Kikurdi wanaopambana na kundi la Dola ya Kiislam (IS) katika mji wa Syria wa Kobane.

Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema ndege aina ya C-130 zimefanya safari za kudondosha vitu hivyo kwa mamlaka ya wakurdi nchini Irak.

Mashambulizi ya anga ya Marekani yamesaidia kuwarejesha nyuma wapiganaji wa IS, katika mji wa Kobane uliopo karibu na mpaka wa Uturuki.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni