.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 1 Oktoba 2014

NYOTA KIBAO WASHUHUDIA BARCELONA IKICHAPWA NA PARIS SAINT GERMAIN



Kiungo wa zamani wa Paris Saint Germain, David Beckham alikuwa ni miongoni wa orodha ya mastaa walioangalia mechi baina ya Paris Saint German na Barcelona jana usiku, iliyoisha kwa Barcelona kulala kwa mabao 3-2.

Beckham aliyemalizia soka lake kwa kucheza kwa muda mfupi na Paris Saint Germain mnamo mwaka 2013, alikuwa amekaa na nyota wa muziki Jay Z pamoja na mkewe Beyonce katika viti vya bei mbaya.
Beckham akiteta jambo na Jay Z

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni