.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

PROFESA MARK MWANDOSYA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA BWAWA KUU LA NCHINI ETHIOPIA

Waziri wa Nchi (Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya Mwandosya na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz (wa pili kushoto) wakitembelea mradi wa ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia (Great Ethiopian Renaissance Dam-GERD).
Waziri wa Maji Umwagiliaji na Umeme wa Ethiopia Mheshimiwa Alemayehu Tegenu, kushoto, na Waziri wa Nchi (Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, kulia, wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mradi Mhandisi Bekele.
Waziri Tegenu wa Ethiopia akiwa katikati mwenye kofia ya kijani,kulia kwake ni Mheshimiwa Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, wa kwanza kushoto kwake ni Mama Lucy Mwandosya, mke wa Waziri Mwandosya, wa pili kushoto kwake ni Waziri Mwandosya wa tatu kushoto kwake ni Mhandisi Bekele, Meneja wa Mradi, wakiwa na wahandisi wa mradi, na ujumbe ulioambatana na Waziri Mwandosya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni