.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Oktoba 2014

RAIS GOODLUCK JONATHAN AVUNJA UKIMYA; ATANGAZA KUWANIA TENA URAIS WA NIGERIA

Rais Goodluck Jonathan amevunja ukimya na kuthibitisha kuwa atawania tena urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Februari mwakani.

Kabla ya hapo rais Jonathan alikuwa akikataa kuthibitisha iwapo atawania tena urais wa nchi hiyo.

Kutangaza nia yake ya kuwani urais kunakuja wakati akikabiliwa na malalamiko mengi juu ya namna anavyoshughulikia suala la kundi la Boko Haram na tukio la kutekwa kwa wanafunzi wasichana zaidi ya 200.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni