.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Oktoba 2014

SIKU YA MSANII KUWA YA AINA YAKE, WANA NJENJE KUONGOZA BURUDANI JUMAMOSI OKTOBA 25 MLIMANI CITY

Ofisa Uhusiano wa Siku Ya Msanii, Peter Mwendapole akizungumza katika mkutanoa na waandishi wa habari kuhusu wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Siku Ya Msanii Jumamosi Ijayo Oktoba 25,2014 katika ukumbi wa Mlimani city jijini Dar. wengine Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Madensa Tanzania, Super Nyamwela, Ahmed Ahmed wa Ako Mpiluka Band, Isha Ramadhan 'Mashauzi' kutoka Mashauzi Classic, Mkurugenzi wa Haak Neel Production, Godfrey Katula na Mwanamuziki John Kitime wa Kilimanjaro Band 'Wana Njenje'

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni