.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 24 Oktoba 2014

SPIKA WA UGANDA AWAPONGEZA WABUNGE WANAOIKOSOA SERIKALI NA KUPIGANIA WANANCHI

Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga amewapongeza wabunge wasio na hofu na waongeaji katika bunge la tisa kwa kupigania maslahi ya wananchi, ambapo amsema viongozi wa aina hiyo wanachangia kuishinikiza serikali kuboresha utoaji huduma bora kwa wananchi.

Mbali na pongezi hiyo kwa wabunge wakosoaji serikali Spika Kadaga amewataka wananchi kuwachagua wabunge shupavu na majasiri ambao wanaweza kumudu presha na kupigania maslahi ya wananchi.

Spika Kadaga amekuwa muhimili mkuu katika kuchangia kutoa uhuru kwa wabunge wa Uganda kuisimamia serikali, licha ya kutokea chama tawala cha NRM kiasi wakati mwingine amejikuta akiwa kwenye misuguano na serikali.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni