JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Taarifa kwa Vyombo
vya Habari
Jeshi laUlinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za
JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.
Aidha, kumeonekana matukio
kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ.
Inakumbushwa kuwa kwa yeyote
atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare
hizo sheria itachukua mkondo wake.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0783 - 309963
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni